Pendekezo la maboresho - Ukurasa wa hatua zetu
-
Badala ya Endeleza - iwe JENGA
-
Hamisha na Badili hatua ya tano
- Badala ya Kusema Fikra & Ari - iwe Mrejesho na marekebisho
- Hatua hii isogezwe iwe ya mwisho.
-
Boresha Rangi za Hatua zote saba. Jumuisha rangi mandhari ya nembo ya irabu
-
Mpangilio wa hatua : Usizidi mistari miwili kwa mlalo